Tupigie Kupitia:
+255 673 736 622
Barua Pepe:
info@tujengetraders.com
Anwani ya Ofisi:
Nane nane, Nzughuni
Tupo Wazi:
Jumatatu - Jumamosi: 07:00 - 18:00
Kwanini uchague Sisi?
1
Bei Nzuri
Je, ungependa kujua kuhusu ofa bora zaidi? Fika na uzungumze nasi! Timu yetu iko tayari kukusaidia kupata bei zisizo na kifani kwenye bidhaa unazohitaji.
2
Ushauri wa Kitaalamu
Huna uhakika kuhusu unachotaka kununua? Fika dukani kwetu, zungumza na wataalam wetu kupata chaguo bora kwa mahitaji yako!
3
Usafiri
Kamwe usisumbuke kuhusu usafiri kwa ajili ya order yako kubwa kwenda site, tumekuletea karibu usafiri kwa bei nafuu.
4
Ubora wa Juu
Tunathamini wateja wetu, hivyo tunauza bidhaa za ubora wa hali ya juu kuhakikisha ujenzi wako unakuwa wenye ubora wa hali ya juu.